_MG_8205 (1) - Copy
previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow

Habari-Latest News & Updates.

DF
Trusted by 150 Members

Trusted by 150 Members

KARIBU IJA WORKERS SACCOS LTD (IJAWOSA LTD)
  • Kukuza Chama kutoka Daraja A kwenda Daraja B kwa kuongeza idadi ya wanachama kutoka 70 waliopo sasa hadi 150 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na kukuza mtaji kwa kuwa na miradi mbalimbali ya maendeleo kwa chama na mwanachama mmoja mmoja ili kutekeleza jambo hili tayari Chama kimesaini Fungamano la Ushirikiano kati ya IJAWOSA LTD na Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto (MoU) ili kutanua wigo wa kupata wanachama wapya na kukuza mtaji.Sehemu ya mafanikio ni kama ifuatavyo:-
Our testimonials/Shuhuda

What they’re talking about IJA WORKER'S SACCOS LTD

IJAWOSA = CHAMA CHANGU MTAJI WANGU

................Kwanini utachague sisi/Why Choose Us?..................
DIRA YA IJAWOSA ni kuwa SACCOIS bora yenye kuinua uchumi kwa Wanachama wake. DHIMA YA CHAMA ni kuwa SACCOS inayojitegemea na kutoa huduma stahiki kwa tija na ufanisi. na MAONO YA CHAMA ni kuwa SACCOS inayojitegemea na kutoa huduma stahiki kwa tija na ufanisi.

IJA Worker's Saccos Limited.
Chama Changu Mtaji Wangu

Trusted by 150 MEMBER